1Maneno ya Aguri mwana wa Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
2
32 Mhu 8:3; Mik 7:16; Rum 3:19 Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza;
Au ikiwa umewaza mabaya;
Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.
33Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi;
Na kupiga pua hutokeza damu;
kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.