1 Musa akimbilia Midiani
11 baba yao, akasema, Imekuwaje hata mkarejea mapema leo?
19Wakasema, Mmisri mmoja alituokoa katika mikono ya wachungaji, tena zaidi ya hayo, akatutekea maji, akalinywesha kundi.
20Mwa 31:54 Akawaambia binti zake, Yuko wapi basi? Mbona mmemwacha mtu huyo? Mwiteni, ale chakula.
21Musa akawa radhi kukaa kwake mtu yule, naye akampa Musa binti yake, Sipora.
22Kut 18:3; Ebr 11:13 Huyo akamzalia mtoto wa kiume, akamwita jina lake Gershomu, maana alisema, Nimekuwa mgeni katika nchi ya ugeni.
23 Kut 7:7; Zab 12:5; Mwa 18:20; Kum 24:15; Yak 5:4 Na kisha baada ya muda, yule mfalme wa Misri akafa; wana wa Israeli wakaugua kwa sababu ya ule utumwa, wakalia; kilio chao kikafika juu kwa Mungu kwa sababu ya ule utumwa.
24Mwa 15:13-14; Kut 6:5; Zab 105:8 Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka agano lake alilolifanya na Abrahamu na Isaka na Yakobo.
252 Sam 16:12; Lk 1:25 Mungu akawaona wana wa Israeli, na Mungu akawaangalia.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.