1
171 Fal 22:17; Eze 34:5; Mt 9:36; Mk 6:34; Kum 31:2; 1 Sam 8:20; 18:13; 2 Nya 1:10; 2 Nya 18:16 atakayetoka mbele yao, na kuingia mbele yao; atakayewaongoza watokapo, na kuwaleta ndani; ili watu wa BWANA wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.
18Kut 24:13; Mwa 41:38; Amu 3:10 BWANA akamwambia Musa, Mtwae Yoshua, mwana wa Nuni, mtu ambaye roho iko ndani yake, ukamwekee mkono wako;
19Kum 31:7 kisha ukamweke mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote; ukampe mausia mbele ya macho yao.
20Hes 11:17; 1 Sam 10:6; 2 Fal 2:15; Kum 34:9; Yos 1:15 Nawe utaweka juu yake sehemu ya heshima yako, ili jumuiya yote ya wana wa Israeli wapate kutii.
21Kut 28:30; 1 Sam 14:41; 28:6; Yos 9:14; Amu 1:1; 20:18; 1 Sam 23:9; 30:7; Law 8:8; Kum 33:8; 1 Sam 28:6; 1 Sam 22:10 Naye atasimama mbele ya Eleazari kuhani, naye atamwulizia kwa hukumu ya ile Urimu mbele za BWANA; kwa neno lake watatoka, na kwa neno lake wataingia; yeye na wana wa Israeli wote pamoja naye, mkutano wote pia.
22Musa akafanya kama BWANA alivyomwamuru; akamtwaa Yoshua, akamweka mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote;
23Kum 3:28; 31:23; Isa 55:4 kisha akaweka mikono yake juu yake, akampa mausia, kama BWANA alivyosema kwa mkono wa Musa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.