1 Mambo ya Nyakati 8 - Swahili Revised Union Version DC

Wazawa wa Benyamini

1 na Nadabu;

31

32Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.

331 Sam 9:1; 14:51; 1 Nya 9:36,39; Mdo 13:21; 2 Sam 2:8 Naye Neri akamzaa Kishi; na Kishi akamzaa Sauli; na Sauli akamzaa Yonathani, na Malkishua, na Abinadabu, na Eshbaali.

342 Sam 4:4; 9:12 Na mwanawe Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika.

351 Nya 9:41 Na wana wa Mika; Pithoni, na Meleki, na Tarea, na Ahazi.

36Na Ahazi akamzaa Yara; na Yara akamzaa Alemethi, na Azmawethi, na Zimri; na Zimri akamzaa Mosa;

37na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Ekasa, na mwanawe huyo ni Aseli;

38naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli.

39Na wana wa Esheki nduguye ni hawa; mzaliwa wake wa kwanza, Ulamu, na wa pili Yeushi, na wa tatu Elifeleti.

401 Nya 12:2; 2 Nya 11:1; 13:3; Neh 4:13; Wim 3:7,8; Efe 6:11-20 Na wana wa Ulamu walikuwa watu hodari wa vita, wapiga upinde, nao walikuwa na wana wengi, na wana wa wana, watu mia moja na hamsini. Hao wote ndio waliokuwa wana wa Benyamini.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help