1 Law 8:35; 1 Nya 9:33; Zab 130:6; Lk 2:37 Njoni, enyi watumishi wote wa BWANA,
Mhimidini BWANA
Ninyi mnaohudumu usiku
Katika nyumba ya BWANA.
2 Zab 28:2; 1 Tim 2:8 Painulieni patakatifu mikono yenu,
Na kumhimidi BWANA.
3 Zab 124:8; 128:5 BWANA akubariki toka Sayuni,
Aliyeziumba mbingu na nchi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.