2 Samweli 1 - Swahili Revised Union Version DC

Daudi anaomboleza kifo cha Sauli na Yonathani

1 wa BWANA?

15 wa BWANA.

17Basi Daudi akamwomboleza Sauli, na Yonathani, mwanawe, maombolezo haya;

18Yos 10:13 (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema,

Wana wa Yuda na wafundishwe haya,

19Walio fahari yako, Ee Israeli

Juu ya mahali pako palipoinuka wameuawa;

Jinsi mashujaa walivyoanguka!

20 Amu 16:23; 1 Sam 31:9; Mik 1:10; Kut 15:20; Amu 11:34; 1 Sam 18:6; 31:4 Msiyahubiri mambo haya katika Gathi,

Msiyatangaze katika njia za Ashkeloni;

Wasije wakashangilia binti za Wafilisti,

Binti za wasiotahiriwa wakasimanga.

21 Amu 5:23; Ayu 3:3,4; Yer 20:14; 1 Sam 10:1 Enyi milima ya Gilboa, visiwepo juu yenu

Umande wala mvua, wala mashamba ya matoleo;

Maana ndipo ilipotupwa kwa aibu ngao ya shujaa,

Ngao yake Sauli, pasipo kutiwa mafuta.

22 1 Sam 18:4 Kutoka kwa damu yao waliouawa,

Kutoka kwa shahamu yao mashujaa,

Upinde wa Yonathani haukurudi nyuma,

Wala upanga wa Sauli haukurudi bure.

23 Amu 14:18 Sauli na Yonathani walipendwa na kupendeza

Maishani wala mautini hawakutengwa;

Walikuwa wepesi kuliko tai,

Walikuwa hodari kuliko simba.

24Enyi binti za Israeli, mlilieni

Huyo Sauli, ambaye aliwavika

Mavazi mekundu kwa anasa,

Akazipamba nguo zenu dhahabu.

25Jinsi mashujaa walivyoanguka

Katikati ya vita!

Ee Yonathani, wewe umeuawa

Juu ya mahali pako palipoinuka.

26 1 Sam 18:1,3; 19:2; 20:17 Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu,

Ulikuwa ukinipendeza sana;

Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu,

Kupita upendo wa wanawake.

27Jinsi mashujaa walivyoanguka,

Na silaha za vita zilivyoangamia!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help