1 Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16Law 26:12; Eze 37:27; 1 Kor 3:16; 6:19; Eze 37:27 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17Isa 52:11; Yer 51:45; Eze 20:34,41; Ufu 18:4 Kwa hiyo,
Tokeni kati yao,
Mkatengwe nao, asema Bwana,
Msiguse kitu kilicho kichafu,
Nami nitawakaribisha.
18 2 Sam 7:8,14; 1 Nya 17:13; Isa 43:6; Yer 31:9; 32:38; Hos 1:10; Amo 4:13 Nitakuwa Baba kwenu,
Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
asema Bwana Mwenyezi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.