1 yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.
18 1 Nya 2:4; Mt 1:3 Hivi ndivyo vizazi vya Peresi; Peresi alimzaa Hesroni;
19na Hesroni akamzaa Ramu; na Ramu akamzaa Aminadabu;
20Hes 1:7 na Aminadabu akamzaa Nashoni; na Nashoni akamzaa Salmoni;
21na Salmoni akamzaa Boazi; na Boazi akamzaa Obedi;
22na Obedi akamzaa Yese; na Yese akamzaa Daudi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.