1BWANA akanena na Musa, akamwambia,
2 ya jirani yako; mimi ndimi BWANA.
17 kwa muda wa miaka mitatu miti hiyo itakuwa kwenu kama katazo; matunda yake hayataliwa.
24Kum 12:17,18 Lakini mwaka wa nne matunda yake yote yatakuwa ni matakatifu, kwa ajili ya kumpa BWANA shukrani.
25Na katika mwaka wa tano mtakula matunda yake, ili ipate kuwapa mavuno yake; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
26Mwa 9:4; Law 7:26-27; 17:10-14; Kum 12:16,23; 15:23; 18:10; 2 Fal 17:17 Msile kitu chochote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.
27Law 21:5; Kum 14:1; Yer 9:26 Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu.
28Kum 14:1 Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
29Kum 23:17 Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
30 Law 26:2; Mhu 5:1 Zishikeni Sabato zangu, mpaheshimu patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA.
31Kum 18:11; 1 Sam 28:3; 2 Fal 23:4; Isa 8:19 Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
321 Fal 2:19; Mit 20:29; 23:22; 1 Tim 5:1 Mwondokeeni mtu mwenye mvi; heshimuni uso wa mtu mzee; nawe mche Mungu wako, Mimi ndimi BWANA.
33Kut 22:21; Kum 24:17-18; 27:19 Na mgeni akikaa pamoja nawe katika nchi yako, usimdhulumu.
34Kut 12:48; Kum 10:19 Mgeni aishiye pamoja nawe atakuwa kama mzaliwa kwenu; mpende kama nafsi yako; kwa maana ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
35Kum 25:13-16; Mit 20:10; Eze 45:10 Msifanye yasiyo haki katika hukumu, wala katika kupima, wala katika mizani, wala katika cheo.
36Kum 25:13,15; Mit 20:10 Mizani ya haki, vipimo vya haki, efa ya haki, hini ya haki, ndivyo mtakavyokuwa navyo. Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri.
37Kum 6:25; 5:1; Law 18:4,5 Zishikeni sheria zangu, na hukumu zangu, na kuzitenda. Mimi ndimi BWANA.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.