1Basi mfalme Sulemani akawa mfalme juu ya Israeli wote.
2Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani,
3
4 thelathini za unga mzuri, na kori sitini za ngano,
23na ng'ombe kumi walionona, na ng'ombe ishirini za malisho, na kondoo mia moja, pamoja na ayala, na paa, na kulungu, na kuku walionona.
24 wa mashariki, na hekima zote za Misri.
311 Nya 15:19; 6:33 Kwa kuwa alikuwa na hekima kuliko watu wote; kuliko Ethani Mwezrahi, na Hemani, na Kalkoli, na Darda, wana wa Maholi; zikaenea sifa zake kati ya mataifa yote yaliyozunguka.
32Mit 1:1; Mhu 12:9; Wim 1:1 Naye akanena mifano elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano.
33Akanena habari za miti tangu mwerezi ulioko Lebanoni hata hisopo umeao ukutani; pia akanena habari za wanyama, na za ndege, na vitambaavyo, na samaki.
341 Fal 10:1; 2 Nya 9:1 Watu wakaja kutoka mataifa yote, toka wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamepata habari za hekima yake, ili waisikie hekima ya Sulemani.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.