1 hadi nchi ya Wafilisti, na hadi mpaka wa Misri.
271 Fal 10:27; 2 Nya 1:15 Mfalme akafanya fedha humo Yerusalemu kuwa kama mawe, na mierezi akaifanya kuwa kama mikuyu iliyomo Shefela, kwa kuwa mingi.
28Kum 17:16; 1 Fal 4:26; 10:26,28; 2 Nya 1:16; Isa 2:7; 31:1 Wakamletea Sulemani farasi kutoka Misri, na kutoka nchi zote.
Kifo cha Sulemani29 1 Fal 11:29,41; 2 Nya 12:15; 13:22 Basi mambo yake Sulemani yaliyosalia, tangu mwanzo hadi mwisho je! Hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu la Nathani nabii, katika unabii wa Ahiya, Mshiloni, na katika maono ya Ido mwonaji ambayo yahusu Yeroboamu mwana wa Nebati?
301 Fal 11:42,43 Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli wote miaka arubaini.
31Naye Sulemani akalala na baba zake, akazikwa mjini mwa Daudi babaye; Rehoboamu mwanawe akatawala badala yake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.