1 Samweli 1 - Swahili Revised Union Version

Kuzaliwa na kuwekwa wakfu kwa Samweli

1 na efa moja ya unga, na chupa ya divai, akamleta nyumbani kwa BWANA, huko Shilo; na yule mtoto alikuwa mtoto mdogo.

25Nao wakamchinja huyo ng'ombe, wakamleta mtoto kwa Eli.

26Akasema, Ee bwana wangu, kama iishivyo roho yako, bwana wangu, mimi ndimi yule mwanamke aliyesimama karibu nawe hapa, nikimwomba BWANA.

27Mt 7:7 Niliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba;

28Mwa 24:26,52 kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help