Mwanzo 25 - Swahili Revised Union Version

Wazawa wa Ketura

1Abrahamu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura.

2

31Yakobo akamwambia, Kwanza niuzie leo haki yako ya mzaliwa wa kwanza.

32Esau akasema, Tazama, mimi ni karibu kufa, itanifaa nini haki hii ya uzazi?

33Ebr 12:16 Yakobo akamwambia, Niapie kwanza. Naye akamwapia, akamwuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

341 Kor 15:32 Yakobo akampa Esau mkate na chakula cha dengu, naye akala, akanywa, kisha akaondoka, akaenda zake. Hivyo Esau akaidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help