Mwanzo 22 - Swahili Revised Union Version

Amri ya kumtoa Isaka kafara

1 kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.

15Malaika wa BWANA akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni

16Ebr 6:13-14; Zab 105:9; Lk 1:73 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema BWANA, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,

17Ebr 11:12; Mwa 15:5; Yer 33:22; Mwa 13:16; 24:60; Mik 1:9 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki lango la adui zao;

18Mdo 3:25; Mwa 12:3; 18:18; Gal 3:8,9,16,18; Mwa 22:3,10; 26:5 na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.

19Basi Abrahamu akawarudia vijana wake, wakaondoka, wakaenda zao pamoja mpaka Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba.

Wana wa Nahori

20 Mwa 11:29 Ikawa baada ya mambo hayo, Abrahamu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;

21Ayu 1:1; 32:2 Usi, mzaliwa wa kwanza wake, na Buzi nduguye, na Kemueli, baba wa Aramu;

22na Kesedi, na Hazo, na Pildashi, na Yidlafu, na Bethueli.

23Mwa 24:15 Bethueli akamzaa Rebeka; hao wanane Milka alimzalia Nahori ndugu wa Abrahamu.

24Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help