1Basi haya ndiyo maneno ya mwisho ya Daudi.
Daudi, mwana wa Yese, anena,
Anena huyo mtu aliyeinuliwa juu,
Yeye, masihi wake Mungu wa Yakobo,
Mtungaji wa nyimbo za Israeli mwenye kupendeza;
2 Mhakmoni, Hamkuu wa wakuu wa majeshi; huyo aliliinua shoka lake juu ya watu mia nane waliouawa pamoja.
9 pia aliingia katika shimo na kumwua simba wakati wa theluji;
211 Nya 11:23 huyo naye akamwua Mmisri, mtu mrefu; naye huyo Mmisri alikuwa na mkuki mkononi; lakini yeye alimshukia na gongo, akamnyang'anya Mmisri mkuki mkononi mwake, akamwua kwa mkuki wake mwenyewe.
22Hayo ndiyo aliyoyafanya Benaya, mwana wa Yehoyada, akawa na jina kati ya wale mashujaa watatu.
232 Sam 8:18 Alikuwa mwenye heshima kuliko wale thelathini, ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu. Naye Daudi akamteua kuwa mkuu wa walinzi wake.
24 2 Sam 2:18 Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmojawapo wa wale thelathini; na Elhanani, mwana wa Dodo, wa Bethlehemu;
251 Nya 11:27 na Shama, Mharodi, na Elika, Mharodi;
26na Helesi, Mpeloni, na Ira, mwana wa Ikeshi, Mtekoi;
27na Abiezeri, Mwanathothi, na Sibekai, Mhushathi;
28na Salmoni, Mwahohi, na Maharai, Mnetofathi;
29na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
30Amu 12:15; 2:9 na Benaya, Mpirathoni, na Hurai, wa vijito vya Gaashi;
31na Abieli, Mwarbathi, na Azmawethi, Mbarhumi;
32na Eliaba, Mshaalboni, na wana wa Yasheni; na Yonathani,
33mwana wa Shama, Mharari, na Ahiamu, mwana wa Shalali, Mharari;
34na Elifeleti, mwana wa Ahasbai, na Heferi, Mmaakathi, na Eliamu, mwana wa Ahithofeli, Mgiloni;
35na Hezro, Mkarmeli, na Paarai, Mwarbi;
36na Igali, mwana wa Nathani, wa Soba, na Bani, Mgadi;
37na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
382 Sam 20:26; Yos 15:48 na Ira, Mwithri, na Garebu, Mwithri;
392 Sam 11:3,6 na Uria, Mhiti; idadi yao ilikuwa watu thelathini na saba.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.