Zaburi 84 - Swahili Revised Union Version

Shangwe ya kuabudu katika hekaluKwa mwimbishaji: kwa mtindo wa Gitithi. Ya Wakorahi. Zaburi.

1

10Hakika siku moja katika nyua zako

Ni bora kuliko siku elfu kwingineko;

Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu,

Kuliko kuishi katika hema za uovu.

11Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao,

BWANA atatoa neema na utukufu.

Hatawanyima kitu chema

Hao waendao kwa ukamilifu.

12Ee BWANA wa majeshi,

Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help