1 Mwa 10:5; Zab 72:10; Isa 24:15 Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari.
2Na matendo yake yote yenye nguvu na ya ushujaa, na habari zote za ukuu wake Mordekai ambao alipewa na mfalme, hazikuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Umedi na Uajemi?
3Mwa 41:40; 2 Nya 28:7; Neh 2:10; Zab 122:8; Mit 12:20; Isa 26:12 Kwa maana Mordekai Myahudi akiwa wa pili wake mfalme Ahasuero, na mkuu wa Wayahudi, amependeza mbele ya jamii ya ndugu zake; ambaye aliwajali watu wake, na kuiangalia hali njema ya wazawa wao wote.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.