Sefania UTANGULIZI - Swahili, Common Language Bible with DCs

UTANGULIZISefania alihubiri ujumbe wa Mungu huko Yuda kati ya mwaka 640 na 620 K.K., wakati wa utawala wa mfalme Yosia wa Yuda mnamo mwaka 640-609 K.K.Muhimu katika mahubiri yake ni kwamba Mungu atawaadhibu watu wa Yuda na Yerusalemu kwa sababu walitumikia miungu ya uongo. Wakati huo atakapowaadhibu ndio wakati ule unaotajwa kama “Siku ya Mwenyezi-Mungu”. Hata mataifa ya jirani na Yuda nayo pia yataadhibiwa. Lakini katika siku za usoni wakazi wa Yerusalemu watamtumikia Mungu, naye Mungu atawafanikisha tena watu wake.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help