Yona UTANGULIZI - Swahili, Common Language Bible with DCs

UTANGULIZITofauti sana na vitabu vingine vya manabii, kitabu cha Yona ni simulizi. Kinasimulia habari za nabii mmoja ambaye anatajwa mara moja tu katika A.K. katika (2Fal 14:25). Yona anajaribu kwanza kukwepa wito wa Mungu na baadaye ananung'unika kwamba alipofuata wito huo wa kwenda kuhubiri, yalipatikana mafanikio ambayo hakuyatazamia. Waninewi walitubu, naye Yona hakupendezwa. Fundisho kubwa: Mungu mwenyewe anaongoza wasemaji wake bila ya wao kutaka. Pili: Binadamu hawezi kumwekea Mungu mipaka ya upendo wake kwa watu wake.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help