Obadia UTANGULIZI - Swahili, Common Language Bible with DCs

UTANGULIZIKijitabu hiki cha nabii Obadia ni kidogo kuliko vitabu vyote vya manabii. Unabii wa Obadia unahusu mambo mawili: Adhabu ya Edomu (aya 1-14), na “Siku ya Mwenyezi-Mungu” ambapo Waisraeli watalipiza kisasi watu wa Edomu (aya 15-21). Labda kijitabu hiki kiliandikwa huko Yuda muda mfupi kabla ya kurudi kutoka uhamishoni.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help