Yobu 42 - Swahili, Common Language Bible with DCs

1Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu:

2“Najua kwamba waweza kila kitu,

lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.

3

15Katika nchi yote hiyo hapakuwa na wanawake waliokuwa wazuri kama mabinti wa Yobu. Baba yao akawaachia urithi kama alivyowaachia kaka zao.

16Baada ya hapo, Yobu aliishi miaka 140, akawaona wajukuu na vitukuu vyake vyote hadi kizazi cha nne.

17Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help