Waamuzi 12 - Kiswahili Study Bible

Mzozo kati ya Yeftha na kabila la Efraimu

1 lakini yeye hutamka “Sibolethi,” kwa sababu hakuweza kulitamka sawasawa. Hapo, walimkamata, wakamuua huko kwenye vivuko vya mto Yordani. Watu 42,000 wa Efraimu walipoteza maisha yao wakati huo.

7Yeftha alikuwa mwamuzi katika Israeli kwa miaka sita. Kisha akafariki, akazikwa huko Gileadi katika mji wake.

Ibzani, Eloni, na Abdoni

8 akawa mwamuzi wa Israeli.

9Yeye alikuwa na watoto wa kiume thelathini na wa kike thelathini. Nao binti zake thelathini aliwaoza nje ya ukoo wake, na wana aliwaoza wasichana thelathini kutoka nje ya ukoo wake. Ibzani alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka saba.

10Akafariki, akazikwa mjini Bethlehemu.

11Baada ya Ibzani, Eloni wa kabila la Zebuluni, akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka kumi.

12Naye akafariki, akazikwa mjini Aiyaloni katika nchi ya kabila la Zebuluni.

13 12:13-15 Punda wakati huo walitumiwa kwa wingi kubeba mizigo. Kwamba kila mtoto wa Abdoni alikuwa na punda wake hiyo ilikuwa ishara ya kwamba familia yake ilikuwa tajiri. Yafaa kukumbuka kwamba farasi hawakutumiwa huko Palestina mpaka yapata mwaka 970 K.K. wakati wa mfalme Solomoni. Baada ya Eloni, Abdoni mwana wa Hileli kutoka Pirathoni akawa mwamuzi wa Israeli.

14Yeye alikuwa na watoto wa kiume arubaini na wajukuu thelathini ambao walipanda punda sabini. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka minane.

15Kisha Abdoni akafariki, akazikwa mjini Pirathoni katika nchi ya kabila la Efraimu kwenye eneo la milima ya Waamaleki.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help