Wimbo Ulio Bora UTANGULIZI - Swahili Common Language DC Bible

UTANGULIZIKatika Kiebrania kitabu hiki kinaitwa “Wimbo wa Nyimbo”, yaani wimbo mzuri kupita zote: “Wimbo Bora”.Huu mkusanyo wa tenzi ambazo kwa jumla zazungumzia urafiki au upendo kati ya mume na mke unasemekana kwamba Solomoni ndiye mwandishi wake. Lakini kusema kweli mkusanyo huu ni wa nyakati za baadaye sana baada ya Solomoni.Jambo la mapenzi kati ya mume na mke katika Israeli halikuwa jambo ambalo lilikuwa aibu kutaja. Tenzi hizi zilipata kufafanuliwa na waalimu wa Kiyahudi kwa maana ya upendo uliopo kati ya Mungu na watu wa Israeli na msingi wa ufafanuzi huo wanauona katika Hos 1–3; Yer 2:20–3:5. Katika nyakati za kwanzakwanza za jumuiya ya Wakristo tenzi hizi zilifafanuliwa kama mfano wa upendo kati ya Kristo na Kanisa lake (taz Efe 5:21-33).
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help